Idhaa ya Kiswahili
Uchumi
Michezo
Facebook
ChinaABC
Sayansi
Afya
Bw. Li Zhaoxing akutana na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Salim Ahmed Salim na rais wa zamani wa nchi hiyo Benjamin Mkapa
More>>
Habari
Kongamano la diplomasia ya umma kati ya China na Afrika lafanyika nchini Tanzania
Mkutano wa kwanza wa baraza la diplomasia ya umma kati ya China na Afrika wafanyika
Bw. Li Zhaoxing akutana na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Salim Ahmed Salim na rais wa zamani wa nchi hiyo Benjamin Mkapa
Umuhimu wa vyombo vya habari katika maendeleo ya hisani unatakiwa kuzingatiwa zaidi
Mfuko wa AMITY unashirikiana na hospitali na taasisi nyingine za afya barani Afrika katika kukusanya fedha kwa ajili ya kuwasaidia watu wasioweza kumudu matibabu
More>>
maelezo
Bw. Li Zhaoxing akutana na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Salim Ahmed Salim na rais wa zamani wa nchi hiyo Benjamin Mkapa
Mkurugenzi wa Shirikisho la diplomasia ya umma la China Bw. Li Zhaoxing ambaye yuko ziarani nchini Tanzania kuhudhuria mkutano wa Baraza la diplomasia ya umma kati ya China na Afrika, jana alikutana na aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Bw. Salim Ahmed Salim na rais wa zamani wa nchi hiyo Bw. Benjamin Mkapa.
Tamasha la Vijana wa China na Afrika kwa Mwaka 2016 laendelea mjini Guangzhou
Tamasha la Vijana wa China na Afrika kwa Mwaka 2016 linaendelea kufanyika mjini Guangzhou, ambapo vijana 188 kutoka nchi 18 za Afrika na wenzao 200 kutoka China wamekusanyika kwa pamoja ili kuongeza maelewano kati yao.
Uwekezaji unakuwa injini mpya ya kukuza ushirikiano kati ya China na Afrika
Waziri wa mambo ya nje ya China Wang Yi amesema China na Afrika zinatafuta mtindo mpya wa ushirikiano wa kunufaishana kati yao, na uwekezaji unakuwa injini mpya ya kuhimiza ushirikiano huo.
More>>
picha
Bw. Li Zhaoxing akutana na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Salim Ahmed Salim na rais wa zamani wa nchi hiyo Benjamin Mkapa
Mawasiliano ya kiutamaduni na ushirikiano wa vyombo vya habari ni nguvu kubwa ya kusukuma mbele urafiki kati ya watu wa China na Afrika
Kongmanano la Diplomasia ya Umma kati ya China na Afrika limefunguliwa
Bw. Guo Chongli
More>>
Webradio
Sauti
6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
FM 1
12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
FM 2
20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
FM 3A
FM 3B
Maoni yako
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved.
16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040