• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Russia zatarajiwa kupanua ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara

    (GMT+08:00) 2017-03-30 09:15:50

    Naibu waziri mkuu wa China Bw. Wang Yang amesema China na Russia zinapaswa kufanya juhudi za pamoja ili kupanua na kuboresha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara. Bw. Wang Yang amesema hayo alipoendesha kwa pamoja na mwenzake wa Russia Bw. Dmitry Rogozin kikao cha kamati ya mikutano kati ya viongozi wa serikali za China na Russia. Kwa upande wake Bw. Rogozin amesisitiza kuwa Russia iko tayari kushirikiana na China katika kupanua ushirikiano wa kiutendaji katika maeneo mbalimbali na kuhakikisha mafanikio yanapatikana kwenye mawasiliano ya ngazi ya juu kati ya nchi mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako