• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CRI yatoa programu tatu za simu za mkononi kuhusu China

    (GMT+08:00) 2017-03-30 18:49:47

    Radio China Kimataifa leo imetoa programu tatu za simu za mkononi za "ChinaNews, ChinaRadio na ChinaTV" zilizotengenezwa kwa lugha mbalimbali, hatua inayolenga kutoa huduma na kuwawezesha watumiaji duniani kote kuifahamu China na dunia.

    China iko mbioni kuunganisha kwa kina vyombo vya habari vya jadi na vya kisasa kwenye maudhui, njia za usambazaji, majukwaa, uendeshaji na usimamizi, na kutolewa kwa programu hizo kunaonesha kuwa mchanganyiko wa vyombo vya habari vya CRI umeingia kwenye kipindi kipya cha maendeleo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako