Mradi huo uliogharimu shilingi milioni 100 ulianzishwa kusaidia hasa washana na kina mama na ufahamu wa kibiashara baada ya eneo hilo kukumbwa na mapigano siku za nyuma.
Mahabara ya teknolojia kwenye kituo hicho ina kompyuta 15 ambazo zimeunganishwa na intaneti.
Mkurungezi wa MTN Wim Vanhelleputte, amesema ufahamu na elimu zinasaidia jamii kujiwezesha kiuchumi.
Wakfu huo ulianzishwa mwaka 2007 na kazi zake ni kuwekeza kwenye jamii hasa miradi ya afya, elimu na sanaa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |