Waziri wa Nishati na Madini,wa Tanzania Profesa Sospeter Muhongo aliunga na wenzake kuzindua mradi huo
katika maporomoko ya maji ya Rusumo utakaonufaisha nchi hizo tatu.
Ujenzi wa mtambo wa kuzalisha umeme unagharimiwa na Benki ya Dunia ilhali ujenzi wa njia ya umeme kuunganisha katika Gridi za Taifa za nchi hizo tatu unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na waandalizi wa uzinduzi huo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |