• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasisitiza umuhimu wa kuongeza maelewano kati ya watu wa nchi tofauti

    (GMT+08:00) 2017-05-14 11:18:23

    China imesisitiza umuhimu wa kuendelea na juhudi za kuongeza maelewano kati ya watu, na kujenga daraja la urafiki linalounganisha nchi zote washirika wa Ukanda mmoja na Njia moja. Naibu waziri mkuu wa China Bw. Zhang Gaoli amesema, nchi hizo zinatakiwa kukuza ushirikiano katika sekta ya elimu, sayansi na teknolojia, utamaduni, afya na vyombo vya habari, kuhimiza mawasiliano ya kiraia, ili kuhimiza kufundishana kati ya nchi na kuelewana kati ya watu wao. Bw. Zhang pia amependekeza nchi hizo zishirikiane kuzindua bidhaa za utalii za Njia ya hariri, na kueneza njia endelevu za uzalishaji mali na maisha ya watu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako