• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Programu ya Taifa ya Ajira yapata franc bilioni 6.2 kutoka Sweden

    (GMT+08:00) 2017-07-20 19:52:20
    Serikali ya Rwanda na Sweden, jana, zilitia saini ya makubaliano ya fedha yenye thamani ya dola milioni 7.4 kwa ajili ya Programu ya Taifa ya Ajira.

    Kulingana na Claver Gatete, Waziri wa Fedha na Mipango ya Kiuchumi, ruzuku la miaka 2 litakuwa na jukumu muhimu katika kuendesha mafunzo ya kukabiliana na mahitaji ya makampuni ya uwekezaji yanayojitokeza walengwa wakubwa ni wale wanaohusika na bidhaa zilizotengenezwa nchini Rwanda.

    Vijana na wanawake wataweza kupata mtaji na fedha kwa njia ya msaada wa dhamana ya mkopo iliyokutekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Biashara (BDF).

    Programu ya Taifa ya Ajira itasaidia kujenga ajira zaidi kwa vijana na kuongeza mchango wao kwa maendeleo ya kitaifa ya kiuchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako