• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania yafikiria kujenga kituo cha kumbukumbu ya ukombozi wa Afrika

    (GMT+08:00) 2017-09-21 09:01:55

    Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo ya Tanzania Bw. Harrison Mwakyembe amesema Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa kituo cha kumbukumbu ya ukombozi wa Afrika, kinacholenga kukumbuka historia ya waafrika walivyojipigania uhuru. Bw. Mwakyembe amesema Tanzania na Afrika Kusini zimekubaliana kuwa kituo hicho kitajengwa kwenye mji mkuu wa Tanzania Dodoma, na kwamba mradi huo utawawezesha watanzania na waafrika kwa ujumla kuwa na urithi wa ukombozi na kukumbuka historia yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako