• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan yasema iko tayari kuisaidia Sudan kusini kufungua tena visima vya mafuta

    (GMT+08:00) 2017-09-21 09:02:12

    Sudan imesema iko tayari kutoa misaada ya kiufundi kwa Sudan Kusini, kufungua tena visima vyake vya mafuta, vilivyosimamisha uzalishaji kutokana na mapigano. Waziri wa mafuta na gesi wa Sudan Bw. Abdul Rahman Osman amesema hayo alipokutana na mwenzake wa Sudan Kusini Bw. Ezekiel Lol Gatkuoth. Kwa upande wake Bw. Gatkuoth amesema kuongeza uzalishaji wa visima vilivyopo na kufungua visima vilivyofungwa, ni muhimu kwa nchi zote mbili na kunalingana na maslahi ya pande mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako