• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya biashara ya China yasema sheria mpya ya Umoja wa Ulaya kuhusu biashara haiendani na kanuni za WTO

    (GMT+08:00) 2017-11-17 09:06:51

    Wizara ya biashara ya China imesema sheria mpya ya Umoja wa Ulaya ya kupambana na uuzaji wa bidhaa kwa bei ya chini, inayoruhusu vigezo tofauti kwa bidhaa zinazoagizwa chini ya hali unayoita "upotoshaji mkubwa wa soko", haiendani na kanuni za Shirika la biashara duniani WTO. Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo inasema dhana ya "upotoshaji mkubwa wa soko" haipo kwenye kanuni za WTO, kwa hiyo hatua hiyo haina msingi wa kisheria na italeta madhara makubwa kwa mfumo wa kisheria wa WTO wa kupambana na uuzaji wa bidhaa kwa bei ya chini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako