• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Klabu bingwa Afrika Kikapu wanawake

    (GMT+08:00) 2017-11-17 10:06:58
    Timu ya mamlaka ya bandari ya Kenya KPA, leo inacheza mechi yake ya robo fainali dhidi ya First Bank ya Nigeria, kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika ya mchezo wa kikapu Wanawake.

    Nayo timu nyingine kutoka Kenya, Equity Bank, inashuka uwanjani leo mjini Luanda kupambana na mabingwa watetezi wa michuano hiyo Primero De Agosto ya Angola.

    Washindi katika mechi hizo mbili watakutana kesho kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali utakaopigwa kesho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako