• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Heineken yaanza kuuza bia mpya nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2017-11-17 18:53:00

    Kampuni ya vinywaji ya Heineken imeanza kuuza bia mpya nchini Kenya.

    Heineken ya uholanzi imezindua bia aina ya Amstel mabayo sasa ni bidhaa yake ya tatu tangu ianze oparehesni zake mwak 2011.

    Amstel, itakuwa na kiwango cha kileo cha asilimia 5 na itauzwa kwenye chupa za mililita 330 kwa bei ya shilingi 160 na nusu lita bei yake ikiwa ni shilingi 180 .

    Maneja wa kampuni ya Heineken Afrika Mashariki Uche Unigwe amesema bidhaa hiyo mpya itawezesha wateja kufurahia ladha tofauti kutoka kwa kampuni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako