Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe leo amehudhuria mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Harare.
Kitendo hicho kinaonyesha kuwa rais Mugabe bado ni kiongozi wa nchi kwa sasa, tangu jeshi lilipoonesha kuchukua madaraka jumatano wiki hii.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |