• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Mauzo ya chai ya Rwanda yaongezeka

    (GMT+08:00) 2018-01-17 20:28:54

    Mauz0 ya chai ya Rwanda yameongezeka hadi milioni 78.1 katika kipindi cha miezi 11 ya kwanza ya mwaka wa 2017.

    Mwaka 2016 kipindi sawa na hicho Rwanda iliuza chai ya dola milioni 57.4.

    Kulingana na taakwimu za halmashauri ya kuuza nje bidhaa za kilimo, hilo ni ongezeko la asilimia 36.

    Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa chai inayozalishwa lakini pia na kupanda kwa bei ya chai kwenye soko la kimataifa.

    Bei ya kimataifa ya chai imepanda hadi dola 3.21 ikilinganishwa na bei ya awali ya dola 2.56 mwaka 2016.

    Rwanda inalenga kuongeza uzalishaji wake wa chai hadi dola milioni 10 katika kipindi cha mwaka mmoja ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako