Kenya walifanikiwa kuumiliki mchezo huo baada ya nyota wake waliojikusanyia alama za umahiri kwenye mechi hiyo T. Ochieng na R Ghandi ambao kwa pamoja walipata mikimbio 102, na kusiadia timu yao kufikisha 193 ambayo hata hivyo ilikuwa pungufu kwa New Zealand.
Katika mechi nyingine ya kundi A iliyopigwa leo, Afrika Kusini imefanikiwa kuwafunga mabingwa watetezi wa michuano hiyo, timu ya taifa ya West Indies kwa mikimbio 76, katika mechi ambayo iligubikwa na utata mwingi.
Katika mechi a mwisho za hatua ya makundi, ijumaa ijayo Kenya watacheza dhidi ya West Indies wakiwa bado wanahitaji matokeo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |