Kutokana na umahiri wa Mayer, imemchukua saa 2 na dakika 38, Rafael Nadal kushinda mechi hiyo ambayo licha ya matokeo kumbeba Nadal, Mayer ndiye aliyeongoza kwa takwimu za awali.
Kwa ushindi huo, Rafael Nadal ambaye ni bingwa mara 17 wa michuano mikubwa ya tennis, anatarajiwa kukutana na Damir Dzumhur wa Bosnia siku ya ijumaa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |