• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapato ya utalii duniani yakadiriwa kuongezeka kwa asilimia 6.7 mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-01-18 09:31:58

    Mapato yanayotokana na sekta ya utalii duniani yanatarajiwa kuongezeka kwa asilimia 6.7 mwaka huu, likiwa ni ongezeko kubwa zaidi kuliko makadirio ya ukuaji wa uchumi wa dunia. Ripoti iliyotolewa na Shirikisho la miji ya utalii duniani lenye makao makuu mjini Beijing, inasema mwaka jana idadi ya jumla ya watalii kote duniani ilifikia bilioni 11.9, ikiwa ni ongezeko la asilimia 6.8 kuliko mwaka juzi, na mapato ya utalii duniani yalikadiriwa kufikia dola trilioni 5.3 za kimarekani. Ripoti inasema mwaka jana China peke yake ilichangia watalii bilioni 4.5, idadi ambayo ilichukua nafasi ya kwanza duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako