• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wastani wa hataza za uvumbuzi kwa wachina mwaka jana ulikuwa 9.8 kwa watu laki moja

    (GMT+08:00) 2018-01-18 16:35:53

    Takwimu zilizotolewa na Idara ya Hakimiliki ya Taifa ya China zinaonesha kuwa, mwaka jana hataza za uvumbuzi ziliongezeka taratibu nchini China, na wastani wa umiliki wa hataza hizo kwa wachina ulikuwa 9.6 kwa watu laki moja.

    Mwaka jana maombi ya hataza za uvumbuzi yaliongezeka kwa asilimia 14.2 kuliko mwaka juzi na kufikia milioni 1.382, ambazo kati yao laki 4.2 ziliidhinishwa kuwa hataza.

    Hadi kufikia mwishoni mwa mwaka jana, hataza za uvumbuzi zimefikia milioni 1.356 China bara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako