Mkataba huo unatarajiwa kusaidia kuimarisha biashara kati ya nchi za bara la Afrika.Mkataba huo pia unatarajiwa kujadili upanuzi wa sekta ya viwanda na kuboresha miundo mbinu,kwa minajili ya maendeleo ya haraka.
Mkutano huo kadhalika utaangazia vikwazo visivyokuwa vya ushuru, ambavyo vinahujumu biashara.Ndege iliyombeba rais na ujumbe wake iliondoka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta muda mfupi kabla ya saa mbili asubuhi
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |