• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Space X yarusha satelaiti saba kwa ajili ya NASA na Iridium

    (GMT+08:00) 2018-05-23 09:01:45

    Kampuni binafsi ya anga za juu ya Marekani Space X imerusha saitelati mbili za kuchunguza ardhi kwa ajili ya Shirika la anga za juu la Marekani NASA, na satelaiti tano za mawasiliano kwa ajili ya kampuni ya Iridium, kwa kutumia roketi iliyotumika aina ya Falcon 9 mapema jana. Satelaiti zote saba zimefikishwa kwenye njia zao kama ilivyopangwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako