• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RUGBY: Hakuna kuonyesha Tattoo Michuano ya Kombe la Dunia

    (GMT+08:00) 2018-09-21 10:41:38

    Wachezaji wa rugby watakaoshiriki michuano ya rugby ya kombe la dunia itakayofanyika mwakani nchini Japan wameonywa kutoonyesha michoro ya mwilini yaani tattoo wakiwa kwenye michuano hiyo ili kutowakwaza watu na kuheshimu utamaduni wa kijapani.

    Tamko hilo limetolewa na bodi ya mchezo wa rugby nchini humo na kuwataka wachezaji wote kuvaa flana wanapokuwa mazoezini au kwenye mabwawa ya kuogelea.

    Timu zote zitakazoshiriki michuano hiyo tayari zimeshapatiwa barua za agizo hilo mapema ili kuepuka faini ama kufungiwa pindi watakapokiuka agizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako