• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha rais wa Vietnam

    (GMT+08:00) 2018-09-21 19:29:49

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha rais Tran Dai Quang wa Vietnam.

    Katika salamu hizo, Bw. Geng amesema Hayati rais Tran Dai Quang alikuwa kiongozi bora wa chama na taifa la Vietnam, na ametoa mchango mkubwa kwa maendeleo, ukarabati, na kuifungua nchi hiyo, pia kuimarisha uhusiano wa kina wa wenzi wa kimkakati kati ya China na Vietnam.

    Hayati Quang amefariki leo asubuhi kutokana na maradhi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako