• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yakataa kufanya mazungumzo na viongozi wa Marekani wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2018-09-22 16:39:04

    Wizara ya mambo ya nje ya Iran imetoa taarifa ya kukataa kuialika Marekani kufanya mazungumzo ya nchi hizo mbili katika mwisho wa mwezi huu wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

    Mjumbe wa kudumu wa Umoja wa Mataifa wa Marekani Bi. Nikki Haley amesema kwamba Iran imeialika Marekani kufanya mazungumzo, na Rais wa Marekani Donald Trump anafikiria jambo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako