• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Maendeleo ya China mpaka sasa imetoa fedha takribani dola bilioni 50 kwa ajili ya maendeleo Afrika

    (GMT+08:00) 2018-09-22 16:40:31

    Benki ya Maendeleo ya China CDB, mpaka sasa imetoa fedha Zaidi ya dola za kimarekani bilioni 50 kwa ajili ya uwekezaji na misaada ya kifedha kwa mataifa ya Afrika.

    Kwa mujibu wa msemaji wa CDB Bw. Liu Yong, fedha hizo zimetumika kwenye miradi takribani 500 katika nchi 43, zikitumika kusaidia maendeleo ya miundo mbinu, nishati, madini, mawasiliano, viwanda na maendeleo ya jamii.

    Katika hatua nyingine Bw. Liu amesema mikopo maalum kwa ajili ya makampuni madogo na makampuni ya kati kutoka barani Afrika, tayari yamenufaika kutokana na fedha takribani dola bilioni 6.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako