• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Chama cha Riadha nchini Ethiopia chapata mkuu mpya

    (GMT+08:00) 2018-11-16 09:21:15
    Derartu Tulu,mwanamke wa kwanza mweusi wa kiafrika kushinda medali ya dhahabu ya Olimpiki, sasa ameteuliwa kuwa rais wa shirikisho la riadha la wanawake nchini Ethiopia, kuchukua nafasi ya mwanariadha nguli Haile Gebrselassie.

    Kujiuzulu kwa Haile Gebrselassie bila kutarajia mwanzoni mwa wiki hii kumejiri baada ya maandamano yaliyokuwa yakishutumu vifaa duni vya mafunzo katika mkoa wa Oromia, mahali ambako kunatajwa kuwa makao ya wanariadha nguli kutoka nchini Ethiopia.

    kamati ya shirikisho hilo ilimteua kuwa rais wa mpito mpaka hapo mkutano wa dharula utakapoitishwa katika miezi ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako