• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: AFCON U23- Rwanda yalazimishwa sare na DRC

    (GMT+08:00) 2018-11-16 09:21:33
    Mechi kadhaa za kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON U23), timu ya Rwanda imelazimishwa sare ya kutofungana na DRC, nayo Ethiopia imeichakaza bila huruma Somalia kwa magoli 4-0, huku Uganda ikiibuka na ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya Sudan Kusini, na Shelisheli wao wametoshana nguvu ya bila kufungana na Sudan. Mechi zote za marudiano zitachezwa wiki ijayo.

    Michezo hii ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika (AFCON U23) itatumika kwa ajili ya kuwapata wawakilishi wa Afrika katika mashindano ya Olympic yatakayofanyika Japan mwaka 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako