• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mshambuliaji mpya wa Cardiff apotea angani kwenye ndege

    (GMT+08:00) 2019-01-23 09:05:21

    Mshambuliaji wa Cardiff City inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza, Emiliano Sala ambaye usajili wake ulivunja rekodi ya klabu akitokea Nantes ya Ufaransa. amepotelea angani baada ya ndege iliyombeba kupotelea angani na rada za nchini Uingereza zimeshindwa kutambua ilikoelekea tangu Jana usiku.

    Vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kufanya jitihada ya kutambua wapi hasa ndege hiyo ndogo imepotelea taarifa za awali zikieleza pengine inawezekana imeangukia baharini.

    Mshambuliaji huyu ni raia wa Argentina ambaye izaliwa miaka 28 iliyopita ambayo ni tarehe 31 October ya mwaka 1990 na alifanikiwa kuchezea klabu tano hadi hivi sasa na alikuwa bao hajacheza hata mchezo mmoja Cardiff.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako