• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Cristiano Ronaldo akubali kulipa faini kesi ya kukwepa kodi Hispania

    (GMT+08:00) 2019-01-23 09:05:41

    Staa wa klabu ya Juventus ya Italia Cristiano Ronaldo mapema jana aliwasili mahakama ya mjini Madrid Uhispania akiwa na mpenzi wake kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya kesi yake ya ukwepaji kodi nchini humo wakati akiichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania.

    Cristiano Ronaldo alikuwa na kesi ya kukwepa kodi kiasi cha Euro milioni 22.4 ya haki za picha zake na mapato yake ya nje ya uwanja kosa ambalo imeripotiwa alilitenda kati ya mwaka 2011 na 2014 akiitumikia klabu hiyo ya Uhispania, hivyo kuhumiwa kifungo cha miezi 23 jela au faini.

    Ronaldo amekubali kulipa faini ya Euro milioni 18.8

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako