• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuendelea kufanya umuhimu wake wa kiujenzi nchini Sudan Kusini

    (GMT+08:00) 2019-03-16 18:54:33

    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Wu Haitao jana alisema, China iko tayari kuendelea kufanya umuhimu wake wa kiujenzi nchini Sudan Kusini.

    Bw. Wu haitao ameyasema hayo baada ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kupitisha azimio No. 2459 la kuongeza muda wa tume ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS. Amesema kuwa, UNMISS imefanya umuhimu katika kudumisha amani na utulivu nchini Sudan Kusini, jumuiya ya kimataifa inapaswa kuendelea kuiunga mkono tume hiyo kutekeleza majukumu yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako