• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping atoa wito wa kuhifadhi kiini halisi cha utamaduni wa China
  Habari
  v Wanajeshi elfu 15 kushiriki kwenye Gwaride la Siku ya Taifa la China
  v Rais Xi Jinping atembelea Maonyesho ya mafanikio makubwa katika miaka 70 iliyopita tangu Jamhuri ya watu wa China kuasisiwa
  v China yatoa kitabu cheupe kuhusu kazi ya haki za binadamu ya China katika miaka 70 iliyopita
  v Katibu Mkuu UN atoa pongezi maadhimisho ya miaka 70 ya Jamhuri ya Watu wa China
  v Jarida la Qiushi kuchapisha hotuba ya rais Xi Jinping kwenye mkutano wa kuadhimisha miaka 60 ya bunge la umma la China
  More>>
  Maelezo
  v China yamejenga mtandao mkubwa zaidi ya habari na mawasiliano duniani

  Waziri wa viwanda na habari wa China Bw. Miao Wei, leo hapa Beijing amesema katika muda miaka 70 iliyopita tangu Jamhuri ya Watu wa China ianzishwe, China imejenga mtandao mkubwa zaidi wa habari na mawasiliano duniani, na hivi sasa China inashika nafasi ya kwanza duniani kwa hataza za lazima za mtandao wa 5G, na mwakani itaanza rasmi kutoa huduma za mtandao huo katika sehemu mbalimbali nchini China.

  v China yatoa waraka kuhusu maendeleo ya mambo ya wanawake

  Ofisi ya habari ya baraza la serikali la China leo imetoa waraka kuhusu mambo ya wanawake, na kueleza mafanikio yaliyoipata China katika kuendeleza mambo ya wanawake katika miaka 70 iliyopita tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China.

  v China yakamilisha kimsingi mtandao wa kisasa wa posta

  Mkuu wa idara kuu ya posta ya China Bw. Ma Junsheng leo hapa Beijing amesema, katika miaka 70 iliyopita tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China, huduma za posta nchini China zimekua kwa mara 7,700, na China imekamilisha kimsingi mtandao wa kisasa wa posta.

  More>>
  Picha

  Uvumbuzi wa sayansi na teknolojia zaelekeza maendeleo yenye sifa bora ya Beijing

  China kufanya mkutano wa pili wa maendeleo ya kidijitali mwezi ujao

  China na Italia zatia nguvu mpya kwenye Njia ya Hariri ya Kale

  China yapiga hatua katika kubana matumizi ya maji

  China kuwa soko kubwa duniani la teknolojia ya 5G

  Huu ni mwaka muhimu kwa China kushinda vita dhidi ya umaskini
  More>>
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako