taarifa ya kila mwaka ya mfumuko wa bei wa Tanzania and Uganda ilipanda Juni wakati ile ya Kenya ilishuka.
Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu Tanzania iliripoti ongezeko la mfumuko wa bei kwa asilimia 0.2 kutoka asilimia 3.5 hadi asilimia 3.7 Mei.
NBS imechangi ongezeko la mfumuko bei na kuongezeka kwa vyakula, na bidhaa ambazo si chakula na bei ya bidhaa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |