• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Leicester City yaikazia Manchester City na United kwa beki wao

    (GMT+08:00) 2019-07-18 09:24:38
    Brendan Rodgers bosi wa Leicester City amethibitisha tayari timu yake imeachana na ofa za timu mbili ambazo zilikuwa zinahitaji huduma ya beki wao wa kati Harry Maguire.

    Licha ya ofa hizo mbili kwa nyota huyo wa Taifa la England ambaye alikuwa sehemu ya kikosi kilichocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Sculthorpe siku ya Jumanne na waliibuka na ushindi wa bao 1-0.

    Maguire amezivutia timu nyingi kubwa ikiwa ni pamoja na Manchester United na Manchester City ambao walikuwa wanahitaji huduma yake kwa dau la thamani ya pauni milioni 90.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako