• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kurahisisha uhamaji wa wageni

    (GMT+08:00) 2019-07-18 09:32:31

    China imetangaza hatua 12 za kurahisisha maombi ya uhamiaji na kuingia na kutoka kwa baadhi ya wageni nchini humo. Wizara ya Usalama wa Umma imesema hatua hizo ni sehemu ya awamu ya kwanza ya sera 60 maalumu za kuhimiza maendeleo ya kiuchumi na kijamii na kunufaisha umma na makampuni. Kuanzia Agosti mosi, China itarahisisha maombi ya wakazi wa kudumu kwa wageni wa ngazi ya juu wakiwemo wageni wenye shahada ya uzamivu na wale ambao wametoa mchango mkubwa kwa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako