Nchi nyingi duniani zinanunua mashine za kusaidia kupumua zinazotengenezwa nchini China, ambayo inaongoza duniani kwa utengenezaji wa mashine hizo.
Hata hivyo, ingawa viwanda vya China vimejitahidi kutengeneza mashine nyingi za kusaidia kupumua, lakini haviwezi kukidhi mahitaji ya nchi za nje. Baadhi ya viwanda vikubwa vya China vinaweza kukamilisha utengenezaji wa bidhaa zao mwezi Juni au Julai mwaka huu, na viwanda vidogo vya China pia vikikumbwa na shinikizo kubwa la kutengeneza mashine hizo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |