• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping atoa barua ya pongezi kwa rais mpya wa Malawi

    (GMT+08:00) 2020-07-03 18:50:14

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa barua ya pongezi kwa rais mpya wa Malawi Lazarus Chakwera.

    Kwenye barua yake, rais Xi amesisitiza kuwa, tangu China na Malawi zianzishe uhusiano wa kibalozi miaka 13 iliyopita, hali ya kuaminiana ya kisiasa imeongezeka, ushirikiano wa kunufaishana katika pande mbalimbali umepata matokeo makubwa.

    Rais Xi amesema anazingatia sana maendeleo ya uhusiano kati ya China na Malawi, na anapenda kushirikiana na rais Chakwera kuhimiza uhusiano na ushirikiano wa kirafiki kati ya nchi hizo mbili uinuke kwenye kiwango kipya, na kunufaisha nchi hizo mbili na watu wao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako