• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wagombea watano wamebaki katika kinyang'anyiro cha uongozi wa WTO

    (GMT+08:00) 2020-09-18 19:11:28

    Orodha ya wagombea wa nafasi ya mkurugenzi mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) imepunguzwa na kubaki na wagombea watano baada ya wajumbe 164 kumaliza duru ya kwanza ya majadiliano.

    Wagombea hao ni Ngozi Okonjo-Iweala kutoka Nigeria, Yoo Myung-hee kutoka Korea Kaskazini, Amina Mohamed wa Kenya, Mohammad Maziad-Al-Tuwaijri kutoka Saudi Arabia, na Liam Fox wa Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako