• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • • Ahadi aliyoitoa Rais wa China kwenye mkutano wa Baraza kuu la UM yatia moyo mwitikio wa dunia kwa mabadiliko ya tabianchi 2020-09-24
    Rais Xi Jinping wa China juzi jumanne alitoa hotuba muhimu kwenye mjadala wa kawaida wa kikao cha 75 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, na mambo aliyoyataja kuhusu kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi yamefuatiliwa na kujadiliwa na vyombo vya habari vya kimataifa. Baadhi ya wataalamu wa nchi za magharibi wanaona kuwa ahadi ya China imetia moyo kwenye mwitikio wa dunia kwa mabadiliko ya tabianchi.
    • Boeing kukamilisha utengenezaji wa ndege aina ya 747 mwaka 2022 2020-07-30

    Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Marekani ya kutengeneza ndege, Boeing, Dave Calhoun amesema, kampuni hiyo itakamilisha utengenezaji wa ndege aina ya 747 mwaka 2022.

    • Mkutano wa tisa wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na nchi za kiarabu wafanyika 2020-07-07

    Mkutano wa tisa wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na nchi za kiarabu ulifanyika jana kwa njia ya video. Kwenye mkutano huo pande mbili za China na Nchi za kiarabu zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu uhusiano wa kimkakati na kiwenzi, kujenga Jumuiya ya Mustakabali wa Pamoja kati ya China na nchi za kiarabu, na kufikia maafikiano.

    • Watu zaidi ya 120 wauawa katika mashambulizi 330 ya kufyatua risasi nchini Marekani 2020-07-06

    Wikiendi iliyopita ambayo ilikuwa siku ya taifa ya Marekani, matukio zaidi ya 330 za kufyatua risasi yalitokea nchini Marekani na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 120.

    • Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani yaongezeka kwa karibu 55,000 katika saa 24 zilizopita 2020-07-03

    Takwimu kutoka Chuo Kikuu cha Johns Hopkins zinaonesha kuwa idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imeongezeka kwa karibu 55,000 katika saa 24 zilizopita, ambayo ni rekodi mpya ya ongezeko la siku moja.

    • Maofisa wa Marekani waonya kuongezeka zaidi kwa maambukizi ya virusi vya Corona 2020-06-29

    Takwimu kutoka Gazeti la New York Times la Marekani zinaonyesha kuwa, idadi ya maambukizi kote Marekani katika siku 14 zilizopita imeongezeka. Baada ya majimbo mbalimbali kuondoa zuio na kuanza tena shughuli za kazi na uzalishaji, idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona imeongezeka tena, ambapo maofisa wengi wa Marekani wametoa onyo kutokana na hali hiyo.

    • Nzige wavamia Delhi India 2020-06-28
    • CDC Marekani yasema kesi za virusi vya Corona nchini humo zinaweza kuwa mara kumi zaidi ya inavyoripotiwa 2020-06-26

    Mkuu wa Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Marekani (CDC) Robert Redfield amesema, idadi ya watu waliopata maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo inaweza kuwa mara 10 zaidi ya kesi milioni 2.4 zilizothibitishwa kuwa na virusi hivyo.

    • Mtaalamu wa masuala ya China aeleza jinsi ya kuwa na hoja zenye mantiki juu ya sheria ya usalama wa taifa iliyopendekezwa na China 2020-05-31
    Hivi karibuni China ilipendekeza Sheria ya Usalama wa Taifa, ikizingatia zaidi Hong Kong na kupokelewa kwa matumaini makubwa na Bunge la Umma la China NPC. China imesema sheria hiyo inaimarisha sera ya "nchi moja, mifumo miwili" kwa kupunguza ghasia za waandamaji na wahuni.
    • Kutoka Garner hadi Floyd, mauaji ya ubaguzi wa rangi yaendelea kutokea Marekani 2020-05-30

    Idadi ya wamarekani wanaouawa kwa kushindwa kupumua inaonekana sio Goegre Floyd peke yake aliyeuawa na polisi kwa kukandamizwa chini. Maandamano ya sasa na hasira inayoonekana karibu katika nchi nzima ya Marekani, yanatokana na watu kutosahau kifo cha Eric Garner cha mwaka 2014.

    • Marekani yasema itajitoa kwenye Mkataba wa Anga huru 2020-05-22
    Serikali ya Marekani imetangaza nia ya kujitoa kwenye Mkataba wa Anga huru. Kwa mujibu wa kanuni za kujitoa kwenye mkataba huo, Marekani itajitoa rasmi kwenye mkataba huo baada ya miezi sita.
    • Palestina yatangaza kusitisha kutekeleza makubaliano yote yaliyofikiwa kati yake na Marekani 2020-05-20
    Rais Mahmoud Abbas wa Palestina jana Jumanne alitangaza kuwa Palestina itasitisha kutekeleza makubaliano yote yaliyofikiwa kati yake na Marekani. Rais Abbas alitangaza uamuzi huo kwenye mkutano wa dharura wa viongozi wa vyama vya kisiasa vya Palestina uliofanyika jana usiku.
    • Von Der Leyen: Chanjo si anasa ya watu wachache, inapaswa kutolewa kwa watu wote 2020-05-20
    Mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Ulaya Bibi Ursula Von Der Leyen, amesema Umoja wa Ulaya umeitikia mwito wa WHO, kukusanya fedha kwa ajili ya utafiti wa chanjo cha virusi vya Corona, na juhudi za Umoja wa Ulaya zitasaidia kuhimiza maendeleo ya utafiti wa chanjo.
    • Palestina yatangaza kusitisha kutekeleza makubaliano yote yaliyofikiwa kati yake na Marekani 2020-05-20
    Rais Mahmoud Abbas wa Palestina jana Jumanne alitangaza kuwa Palestina itasitisha kutekeleza makubaliano yote yaliyofikiwa kati yake na Marekani. Rais Abbas alitangaza uamuzi huo kwenye mkutano wa dharura wa viongozi wa vyama vya kisiasa vya Palestina uliofanyika jana usiku.
    • WHO yahimiza kulegeza hatua za kukabiliana na COVID-19 taratibu na hatua kwa hatua
     2020-05-12

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus jana kwenye mkutano na waandishi wa habari alisema, hivi sasa nchi nyingi zinalegeza hatua za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19, ili kufufua uchumi, na mchakato huu utakuwa na utatanishi na matatizo mengi. WHO inazitaka nchi hizo zifanye hivyo taratibu na hatua kwa hatua.

    • Waziri mkuu wa Uingereza adokeza mpango wa mwitikio wa kipindi kijacho dhidi ya COVID-19 2020-05-11

    Bw. Johnson amesema serikali imepanga kulegeza zuio kwa masharti, kwa kuwa jambo linalopewa kipaumbele ni kulinda umma na kuokoa maisha, haitaweza kusonga mbele bila kutimiza malengo matano yaliyowekwa awali."

    • Serikali ya Marekani ina shauku ya kufungua nchi huku idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona ikifikia zaidi ya milioni moja 2020-05-08

    Wakati idadi ya jumla ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani ikiongezeka na kufikia milioni 1.5, huku idadi ya vifo ikiwa zaidi ya elfu 75 mpaka kufikia jana jioni, serikali ya Marekani inajitahidi kufungua nchi hiyo kiuchumi, licha ya wasiwasi uliotolewa na wataalam wa afya ya umma na viongozi wa majimbo.

    • Miundo 15,000 ya jeni za virusi yaonyesha virusi vya Corona havikutengenezwa na binadamu 2020-05-05
    Kwenye mkutano na waandishi wa habari wa Shirika la Afya Duniani WHO, mkurugenzi wa kiufundi wa Programu za Dharura za WHO Bibi Maria Van Kerkhove amesema virusi vya Corona vinaenea kati ya popo, hivi sasa miundo 15,000 kamili ya jeni za virusi unaonyesha kuwa virusi vya Corona havikutengenezwa na binadamu.
    • Uingereza na Umoja wa Ulaya zaanza duru ya pili ya mazungumzo ya biashara 2020-04-21
    Uingereza na Umoja wa Ulaya zimeanza duru ya pili ya mazungumzo ya biashara. Mazungumzo hayo yanayofanyika kuanzia tarehe 20 hadi 24, yatajadili masuala ya bidhaa, biashara ya utoaji wa huduma, mambo ya uvuvi, na kanuni za ushindani wa haki.
    • Mkutano wa mawaziri wa afya wa G20 wafanyika kwa njia ya video 2020-04-20

    Mkutano wa mawaziri wa afya wa kundi la nchi 20 (G20) umefanyika jana usiku kwa njia ya video. Mkurugenzi wa Kamisheni ya afya ya taifa ya China Bw. Ma Xiaowei ametoa wito kuwa kundi la G20 kuendelea kuliunga mkono Shirika la Afya duniani WHO kufanya kazi ya uongozi na uratibu katika kukabiliana na dharura za afya ya umma duniani.

    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 next
    SearchYYMMDD  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako