jinsi lugha ya Kichina na reli ya SGR vilivyobadili maisha ya mwanamke nchini Kenya
2021-09-02 15:01:12| CRI

jinsi lugha ya Kichina na reli ya SGR vilivyobadili maisha ya mwanamke nchini Kenya_fororder_timg (2)

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahanmisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti itakayohusu jinsi ya lugha ya Kichina na ujenzi wa reli ya SGR vilivyobadili maisha ya mwanamke mmoja nchini Kenya, na pita tutakuwa na mahojiano kutoka studio ya CMG Idhaa ya Kiswahili mjini Nairobi, Kenya, kuhusu uhusiano wa China na nchi za Afrika unavyoendelea kuimarika kila siku kupitia miradi mikubwa ambayo nchi hiyo imeweza kufanya katika nchi za Afrika.